WatesiWETU
Senior Member
- Jan 2, 2022
- 106
- 248
Nisaidieni ushauri wana jamiiforum, nataka pembezoni mwa mji zaidi.
Ningependa nianze biashara ya Hardware ila changamoto ni eneo lenye ujenzi wa kasi zaidi na upungufu wa Hardware shops
Je kwa sasa mtaji uwe kiasi gani minimum?
Je kawaida faida yakila bidhaa ya hardware inachezea asilimia ngap? 7%,10%au 15% au 20%
Je ni bidhaa gani hasa zina toka mara nyingi hazikai sana dukani ili nianze nazo kukuza mtaji badala ya kununua zinazochelewe nikose mzunguko wakulipa kodi ya pango.
Vip kuhusu leseni ya biashara ya hardware ni kiasi gani manispaa?