Wapi kuna unafuu wa kodi kati ya biashara hizi?

Nestor enos

Member
Joined
Sep 15, 2016
Posts
5
Reaction score
0
Naomba kuuliza, kati ya biashara inayoendeshwa kwa mfumo wa kampuni na iliyo nje ya mfumo wa kampuni, ni ipo yenye unafuu wa kodi na Kivipi?
 
Kwa wamu hii hakuna yenye unafuu maana biashara ni ngumu.Unafuu wa kodi inategemea aina ya biashara na sio mfumo.Mfumo ni kwa ajili ya kujilinda tu.Limited Liability
 
Niambie nje ya awamu hii. Nataka kujifunza tu.
 
Back
Top Bottom