Wapi kuna wauzaji wa bearings, wheel stud, centre bolt, cutting disc, vifaa vinavyotumika katika welding na vifaa vingine tofauti na Kariakoo?

Bei yake hii mkuu!
Hii mkuu tunaiuza 350,000/= bei ya bila VAT

Specofications zake
Voltage: 220-240V
Power input: 730W
Wheel diameter: 4.5"
Grinding wheel thickness: 6mm
Wheel type: 27
Spindle diameter: M14
Weight: 1.8Kg
 
Kwa sisi DIY enthusiasts dukani kwako ni sehemu muhimu kuja kupatembelea
Karibu sana mkuu tuna tools tofauti tofauti tunaziuza ukfika dukani utaona sample za kutosha vizuri
 
Nimeona tools zote za muhimu kuwa nazo mkuu!!
Tunazo nyingi sana japo najitahid kuziweka huku baadhi ila tools za ufundi na spare spare zipo za kutosha
 
Mimi huwa napenda duka liwe na nafasi na dispay ya kutosha naja nafanya window shopping ya tools mbali mbali, kwa kufanya hivyo najifunza vitu vipya na kujua bidhaa kadhaa ambazo zinaweza nisaidia kwenye kukabiliana na hizi changamoto za maisha, si kwamba nakuja dukani nikitaka specific bidhaa, mf ulipotuma kuna bidhaa kadhaa nmechukua screenshot sababu kuna siku zitanifaa, bahati mbaya sikujua zina exist
....locktite threadlock
....glass cutting disc
.....windshield repair kit
Nk
Karibu sana mkuu tuna tools tofauti tofauti tunaziuza ukfika dukani utaona sample za kutosha vizuri
 
Vipi durability kwa hizo za kuchaji
Hizi sio kwa ajili ya sehemu nzito nzito hizi ni kwa matumizi ya nyumbani garden za za nyumbani ndo utapigia kazi na kuzienjoy ila kwa zile sehemu heavy sio flexible
 

DRILL BIT za kutobolea chuma za HSS original zisizovunjika kirahisa utazipata saizi zote dukani kwetu kwa bei nafuu.

Wasiliana nasi kupitia namba 0679650456 au unaweza fika kwenye duka letu lililopo Kariakoo mtaa wa Sikukuu na Udoe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…