Wapi kuna wauzaji wa bearings, wheel stud, centre bolt, cutting disc, vifaa vinavyotumika katika welding na vifaa vingine tofauti na Kariakoo?

Wapi kuna wauzaji wa bearings, wheel stud, centre bolt, cutting disc, vifaa vinavyotumika katika welding na vifaa vingine tofauti na Kariakoo?

Bei yake hii mkuu!
Hii mkuu tunaiuza 350,000/= bei ya bila VAT

Specofications zake
Voltage: 220-240V
Power input: 730W
Wheel diameter: 4.5"
Grinding wheel thickness: 6mm
Wheel type: 27
Spindle diameter: M14
Weight: 1.8Kg
 
Kwa sisi DIY enthusiasts dukani kwako ni sehemu muhimu kuja kupatembelea
Karibu sana mkuu tuna tools tofauti tofauti tunaziuza ukfika dukani utaona sample za kutosha vizuri
 
Mimi huwa napenda duka liwe na nafasi na dispay ya kutosha naja nafanya window shopping ya tools mbali mbali, kwa kufanya hivyo najifunza vitu vipya na kujua bidhaa kadhaa ambazo zinaweza nisaidia kwenye kukabiliana na hizi changamoto za maisha, si kwamba nakuja dukani nikitaka specific bidhaa, mf ulipotuma kuna bidhaa kadhaa nmechukua screenshot sababu kuna siku zitanifaa, bahati mbaya sikujua zina exist
....locktite threadlock
....glass cutting disc
.....windshield repair kit
Nk
Karibu sana mkuu tuna tools tofauti tofauti tunaziuza ukfika dukani utaona sample za kutosha vizuri
 
IMG_20231208_172311_732.jpg

DRILL BIT za kutobolea chuma za HSS original zisizovunjika kirahisa utazipata saizi zote dukani kwetu kwa bei nafuu.

Wasiliana nasi kupitia namba 0679650456 au unaweza fika kwenye duka letu lililopo Kariakoo mtaa wa Sikukuu na Udoe.
 
Back
Top Bottom