Wapi kutakuwa na wakazi wengi kati ya peponi na motoni?

Makonda this....👼
Makonda that.....😇
 
Amani ya Mungu muweza wa yote iwe nanyi.

Nimekuwa nikitafakari kuhusu hili suala la kiimani, kuhusu wapi kutakuwa na wakazi wengi kati ya peponi na motoni.???
Naomba mnisaidie kusolve kwa ushahidi wa maandiko.
Hakuna Moto

Watu wote wataenda peponi.

Kwa Nini Mungu mwenye huruma na hekima akuumbe bila idhini yako alafu akuchome moto

Mafundisho kuwa Mungu atawachoma Moto kisa tu walifanya mambo ambayo hayataki, wakati aliwapa utashi na akili tofauti na miti na wanyama, haya ni mafundisho yanayo muelezea Mungu kama katili na asiye na huruma.

Kama Mungu anajua kila kitu na mwenye huruma na upendo kutuumba hili aje tuchome moto kunakanusha uwezo wake sana.

Na inatia mashaka kumfuata
 
Kasome mathayo 7 mstari wa 13 na 14.
Enter through the narrow gate. Which leads you to paradise.
But many people chose the wider gate with broad road to the destruction.
 
Motoni,ushaidi mathayo 7:13 inasema,

"Ingieni kwa kupitia mlango ulio mwembamba; maana mlango ni mpana, na njia ni pana iendayo upotevuni, nao ni wengi waingiao kwa mlango huo"
 
How do you prove kuna Moto?

Mimi hoja yangu ni hivi.

Mungu alituumba na utashi na Uhuru wa kufanya tunayotaka (Kulingana na mufundisho na dini).

Kama angeweza kutuumba wanyama au mimea hili tusiwe na dhambi yeye akachagua kutuumba binadamu akijua tuta asi na kutenda dhambi, why he went ahead na uumbaji wetu

kutuumba binadamu na kutupa akili na utashi wa kufanya tunachotaka alafu aje atuchome moto kwa maamuzi yake ukatili wa Hali ya juu.

And what the use of hao Watu wakao kuwa peponi, Mungu anawatumia kumfanyia Nini?

They way we normally try to depict God, kwa mawazo yetu Binafsi weather ni rational or not
 
Hakuna cha motoni wala mbinguni, ukifa n umekufa nothing more.

Atakayebisha anithibitishie kwa mfano hai.
 
Naamini hivi pia.

Mungu huwa anawatumia kwenye Nini Watu wema wa peponi?

Literally can create more humans to worship and praise him huko mbinguni
 
How do you prove kuna Moto?

Mimi hoja yangu ni hivi.

Mungu alituumba na utashi na Uhuru wa kufanya tunayotaka (Kulingana na mufundisho na dini).

Kama angeweza kutuumba wanyama au mimea hili tusiwe na dhambi yeye akachagua kutuumba binadamu akijua tuta asi na kutenda dhambi, why he went ahead na uumbaji wetu

kutuumba binadamu na kutupa akili na utashi wa kufanya tunachotaka alafu aje atuchome moto kwa maamuzi yake ukatili wa Hali ya juu.

And what the use of hao Watu wakao kuwa peponi, Mungu anawatumia kumfanyia Nini?

They way we normally try to depict God, kwa mawazo yetu Binafsi weather ni rational or not
Kama hakuna uthibitisho wa uwepo wa motoni bc pia hakuwezi kuwa na uthibitisho wa uwepo wa mbinguni.

Yn kama unaamini kuna Mungu bc ht shetani yupo, kama unaamini hakuna Mungu bc pia unatakiwa kuamini hakuna shetani.

Yn kungekuwa kuna uthibitisho wa mtu aliyetoka mbinguni au peponi hapo ingekuwa sawa atuthibitishie.
 
How do you prove kuna Moto?

Mimi hoja yangu ni hivi.

Mungu alituumba na utashi na Uhuru wa kufanya tunayotaka (Kulingana na mufundisho na dini).

Kama angeweza kutuumba wanyama au mimea hili tusiwe na dhambi yeye akachagua kutuumba binadamu akijua tuta asi na kutenda dhambi, why he went ahead na uumbaji wetu

kutuumba binadamu na kutupa akili na utashi wa kufanya tunachotaka alafu aje atuchome moto kwa maamuzi yake ukatili wa Hali ya juu.

And what the use of hao Watu wakao kuwa peponi, Mungu anawatumia kumfanyia Nini?

They way we normally try to depict God, kwa mawazo yetu Binafsi weather ni rational or not
Maneno yako ni mazuri ila yametoka wapi???

Any reference please,,,,!!!!
 
Any reference please,,,,
Hakuna cha motoni wala mbinguni, ukifa n umekufa nothing more.

Atakayebisha anithibitishie kwa mfano hai.
Na ndio maana nikasema ni suala la kiimani, means religion faith, ukiwa muumini wa dini lazima uamini kuhusu Mungu, shetani na moto na pepo, ikiwa huamini kwenye hivyo you are illegal to give the answers!!!
 
Ndio maana nikasema ni suala la kiimani, means religion faith, ukiwa muumini wa dini lazima uamini kuhusu Mungu, shetani na moto na pepo, ikiwa huamini kwenye hivyo you are illegal to give the answers!!!
Means kwamba imani haina uthibitisho wa mambo yake.?
 
Back
Top Bottom