Wapi kutakuwa na wakazi wengi kati ya peponi na motoni?

Wapi kutakuwa na wakazi wengi kati ya peponi na motoni?

Wameprove kwa kusimama kanisani na kusema walikufa na wakaenda motoni na mbinguni au waliprove vp.?
You talk too much mzee,,,,!!!

we lete uthibitisho kubwa hakuna moto na pepo, ikiwa pia unaamini kuwa hakuna Mungu.
 
Wameprove kwa kusimama kanisani na kusema walikufa na wakaenda motoni na mbinguni au waliprove vp.?
Nawe hauna akili, kama unazo onyesha tuzioneee, we lete picha tu maneno yasiwe meengiii kama mpiga debe!!!!
 
Mafundisho kuwa Mungu atawachoma Moto kisa tu walifanya mambo ambayo hayataki, wakati aliwapa utashi na akili tofauti na miti na wanyama, haya ni mafundisho yanayo muelezea Mungu kama katili na asiye na huruma.
Ewe binadamu, Mungu alikupeni utashi na akili na ufahamu.

Iwapo unaweza kutofautisha kati ya jema na baya, basi tambua kwamba unawajibika kwa matendo yako kwa vile kile utendacho kimo ndani ya uwezo wako kufanya hivi, vile ama vinginevyo.

Mungu hakosi huruma au hawi katili kwa kumtekelezea mwanadamu shauku na uamuzi ambao amejichagulia mwenyewe.

Kukosa huruma ama kuwa mkatili ni kutompatia binadamu sawasawa na maamuzi yake.

Kuchagua mambo maovu ni kuchagua njia ileile ya kuangamia.

Kama mwanadamu hawezi kuuona uhusiano huo wa matendo na matokeo husika, basi hana sifa kabisa za kuwa mwanadamu na wala kamwe katu hapaswi kulaumiwa wala kuhukumiwa kwa matendo yake.

How do you prove kuna Moto?
How do you prove kwamba hakuna moto? It ought to work both ways, right?

Mungu alituumba na utashi na Uhuru wa kufanya tunayotaka (Kulingana na mufundisho na dini).
Wrong. Mungu hajakuumbeni mwanadamu ili ufanye unachotaka.

Amekuumbeni ili utende mema. Think harder.

Kama angeweza kutuumba wanyama au mimea hili tusiwe na dhambi yeye akachagua kutuumba binadamu akijua tuta asi na kutenda dhambi, why he went ahead na uumbaji wetu
Kwa nini ewe binadamu uchague mauti badala ya uzima?

Binadamu siyo kama shilingi inayoserereka kuelekea shimoni bila msaada.

Binadamu ni nafsi yenye nguvu maamli (a being with conscious force) ya kudumisha uzima ama kujialikia mauti.

kutuumba binadamu na kutupa akili na utashi wa kufanya tunachotaka alafu aje atuchome moto kwa maamuzi yake ukatili wa Hali ya juu.
Wrong again! Nani kakuumbeni ili ufanye utakalo?

When will you appreciate the fact that even the elements that make up your being are not your own?

You don't own anything within you. You owe God everything. It's that simple.

As a matter of fact, we don't have the right to complain for anything at all.

Gratefulness ought to characterize our every fiber of our life.

And what the use of hao Watu wakao kuwa peponi, Mungu anawatumia kumfanyia Nini?
Excellent question.

You trust that there is God, don't you?

If He has the power to do what He has done, believe that He has corresponding reason of wisdom in the same.

They way we normally try to depict God, kwa mawazo yetu Binafsi weather ni rational or not
Exactly.

We need to depict God through His own thoughts.

To better understand Him, we have to think as He thinks.

Hakuna cha motoni wala mbinguni, ukifa n umekufa nothing more.

Atakayebisha anithibitishie kwa mfano hai.
Word of caution. Lack of proof is no evidence of nonexistence.

The fact that we can't prove the existence of tomorrow doesn't mean it won't be.

Are there things we can't see? There you go!

Naamini hivi pia.

Mungu huwa anawatumia kwenye Nini Watu wema wa peponi?

Literally can create more humans to worship and praise him huko mbinguni
You are beginning to ask the right kinds of questions.

At least you now appreciate the possibility of God's existence. Good for you.

Yn kungekuwa kuna uthibitisho wa mtu aliyetoka mbinguni au peponi hapo ingekuwa sawa atuthibitishie.
Hapo ni sawa na kuchagua ufuate jibu gani.

Tatizo lako ni kutoelewa maana ya uthibitisho.

Kwako wewe uthibitisho pekee juu ya uwepo wa Mungu ni hadi mtu atoke huko peponi ili aje akuthibitishie.

Hii ni sawa na kujitungia fomula yako binafsi kwa ajili ya kusuluhisha swali ulilotungiwa.

Aren't formulas supposed to be problem-specific?

Nadhani ww unayesema kuna mbinguni ndio ulete uthibitisho, sasa Mm ntaletaje uthibitisho wa kitu ambacho hakipo.
Ndiyo uthibitishe kwamba kitu hicho hakipo.

Impossible?
 
Swali lako linahusu idadi ya wakazi katika pepo na motoni kulingana na maandiko ya kidini, hasa katika muktadha wa Kiislamu na Ukristo.

Katika Uislamu:
Koran inatoa baadhi ya dalili kuhusu idadi ya watu watakaoingia Peponi na Motoni:

  1. Surah Al-A'raf 7:179: "Na hakika tumewaumba kwa ajili ya Jahannamu wengi katika majini na wanadamu..." Aya hii inatoa picha kwamba wengi wa wanadamu na majini wataingia Motoni.
  2. Surah As-Sajda 32:13: "Na tungetaka tungempa kila mtu mwongozo wake, lakini neno langu limethibitishwa kwamba nitajaza Jahannamu kwa majini na wanadamu wote pamoja." Hii inasisitiza kwamba Jahannamu itajaa wengi.
  3. Hadithi za Mtume Muhammad (SAW): Kuna hadithi inayosema: “Mimi ninaapa kwa yule ambaye nafsi yangu iko mikononi mwake kwamba hakika Jahannamu itajaa...” (Muslim). Hii inaonyesha kwamba wengi wataingia Motoni.
Katika Ukristo:
  1. Mathayo 7:13-14: "Ingieni kwa mlango mwembamba; kwa maana mlango ni mkubwa, na njia ni pana, iendayo upotevuni, nao ni wengi waingiayo kwa mlango huo. Bali mlango ni mwembamba, na njia imesonga iendayo uzimani, nao waionao ni wachache." Hii inamaanisha kwamba wengi wataenda upotevuni (Motoni) na wachache wataingia uzimani (Peponi).
  2. Ufunuo wa Yohana 20:15: "Na iwapo mtu yeyote hakuonekana ameandikwa katika kitabu cha uzima, alitupwa katika ziwa la moto." Hii inaonyesha kwamba wale ambao hawajaandikwa katika kitabu cha uzima watatupwa katika ziwa la moto (Motoni).
Kwa ujumla, maandiko haya kutoka katika dini mbili kuu za Uislamu na Ukristo yanaonyesha kwamba idadi ya watu watakaoingia Motoni itakuwa kubwa kuliko wale watakaoingia Peponi.
 
Hakuna pepo wala moto. kama una uhakika ipo tuma picha au tuambie ipo wapi hizi zana za kuogopeshana zimepitwa na wakati mkuu
kula maisha kufa kwaja
 
waAfrika mmekaa usiku wa manane mnaongelea madini ya kikoloni! Imani yenu iko wapi waAfrika??
 
Ewe binadamu, Mungu alikupeni utashi na akili na ufahamu.

Iwapo unaweza kutofautisha kati ya jema na baya, basi tambua kwamba unawajibika kwa matendo yako kwa vile kile utendacho kimo ndani ya uwezo wako kufanya vinginevyo.

Mungu hakosi huruma au hawi katili kwa kutekeleza uamuzi ambao mwanadamu amejichagulia mwenyewe.

Kukosa huruma ama kuwa mkatili ni kutompatia binadamu sawasawa na maamuzi yake.

Kuchagua mambo maovu ni kuchagua njia ileile ya kuangamia.

Kama mwanadamu hawezi kuuona uhusiano huo wa matendo na matokeo husika, basi hana sifa kabisa za kuwa mwanadamu na wala kamwe katu hapaswi kulaumiwa wala kuhukumiwa kwa matendo yake.

How do you prove kwamba hakuna moto? It ought to work both ways, right?

Wrong. Mungu hajakuumbeni mwanadamu ili ufanye unachotaka.

Amekuumbeni ili utende mema. Think harder.

Kwa nini ewe binadamu uchague mauti badala ya uzima?

Binadamu siyo kama shilingi inayoserereka kuelekea shimoni bila msaada.

Binadamu ni nguvu maamli (conscious force) ya kudumisha uzima ama kujialikia mauti.

Wrong again! Nani kakuumbeni ili ufanye utakalo?

When will you appreciate the fact that even the elements that make up your being are not your own?

You don't own anything within you. You owe God everything. It's that simple.

As a matter of fact, we don't have the right to complain for anything at all.

Gratefulness ought to characterize our every fiber of our life.

Excellent question.

You trust that there is God, don't you?

If He has the power to do what He has done, believe that He has corresponding reason of wisdom in the same.

Exactly.

We need to depict God through His own thoughts.

To better understand Him, we have to think as He thinks.

Word of caution. Lack of proof is no evidence of nonexistence.

The fact that we can't prove the existence of tomorrow doesn't mean it won't be.

Are there things we can't see? There you go!

You are beginning to ask the right kinds of questions.

At least you now appreciate the possibility of God's existence. Good for you.

Hapo ni sawa na kuchagua ufuate jibu gani.

Tatizo lako ni kutoelewa maana ya uthibitisho.

Kwako wewe uthibitisho pekee juu ya uwepo wa Mungu ni hadi mtu atoke huko peponi ili aje akuthibitishie.

Hii ni sawa na kujitungia fomula yako binafsi kwa ajili ya kusuluhisha swali ulilotungiwa.

Aren't formulas supposed to be problem-specific?

Ndiyo uthibitishe kwamba kitu hicho hakipo.

Impossible?
Swali langu is simple, kwa kuwa Mungu ni omni potent, alijua binadamu kuwa na utashi itamfanya atende dhambi, why alituumba ili aje atutese kwenye moto wa milele, huoni Nadharia kuwa kuna Moto ni contradictory na sifa za Mungu?

Why Moto?
Kwa Nini Mungu asitufanye tuka vaporize milele, kumbuka, hatukuchagua kuumbwa, yeye for some reason aliamua kutuumba for his reasons, so for anything we do kimsingi is not our faults.

Mungu anapata faida Gani hasa kutuona sisi tunateseka motoni?, does he enjoy it?

Kwa sifa za Mungu, he was there before us, and will be there after us, kwa sifa zake he is all powerful, what is the point of maintaining moto na peponi, kwa ajili yetu?, or we are just his playing toys?
 
Kitu kikubwa Watu wasiojua ni kuwa Biblia haifundishi kuwa kuna eternal fire, au Mungu ni mbaya and enjoys kutesa Watu kwenye moto.

Swali la Moto wa milele liko kwenye hii category.
"Is hell literal or symbolic?"

Idea za Moto zimekuja kwenye Ukristo Miaka mingi kutokana na mapungufu ya kitafsiri kutoka Kiebrania kwenda Kigiriki.

Wayahudi na Biblia haziamini Moto wala Wayahudi hawafundishi Moto kama geographic location ambapo, Mungu ataunguza Watu kwa furaha, bali mafundisho ya Biblia ni "The dead does not know anything", Ecclesiastes 9.5

Neno Hell/Kuzimu taafsiri yake kwa Kigiriki ni Geena, limetokana na neno Ge-hin-nom/Jehanam au Bonde la hinnom, katika Israel ya kale hili Eneo lilikuwa katika viunga vya Jerusalem lilitumika kama Eneo la kuchoma miili iliyokufa na uchafu mwingine.
So watafsiri na waalimu wa baadae wa Dini walikuja kufundisha na kutafsiri Jehanam tofauti kabisa ilivokuwa na kuhusisha Bonde la hinnom kama bonge uaribifu na adhabu

Hili Ndio Bonde la mauti na uvuli lilikuwa linazingumzwa na zaburi.

Mwisho, Nadharia ya Moto(Hell/Helj) kama wa mleta mada, imeanza kutumika karne ya 3 kutokana na mafundisho ya Watu waulaya/Gothic.

Mungu hachomi Watu moto
 
why alituumba ili aje atutese kwenye moto wa milele
Unakosea kila kitu unapodai kwamba Mungu alikuumba ili aje akutese.

I think very few even worst of the worst can engender and sustain such a concocted notion.

Halafu hakuna kitu kama moto wa milele kwa maana ya kuchomeka milele. Hilo kamwe si fundisho la Biblia.

huoni Nadharia kuwa kuna Moto ni contradictory na sifa za Mungu?
Hapana sioni ukinzani wowote. Unadhani Mungu hawezi kukuchoma moto, au?

Nitafurahi iwapo utanidodosea japo hizo ^sifa za Mungu^ zinazokinzana na hatua ya kuwaadhibu waovu.

Why Moto?
Kwa Nini Mungu asitufanye tuka vaporize milele, kumbuka, hatukuchagua kuumbwa, yeye for some reason aliamua kutuumba for his reasons
Labda kama sijakuelewa. Lakini kama unamkosoa Mungu, huoni kwamba wewe ndiye ungepeswa kuwa mungu sasa?

Kwa vile unaonekana kubaini mambo ambayo Mungu ^hawezi kuyaona.^

Au sivyo?

so for anything we do kimsingi is not our faults.
Say that to the court of justice as a plea for your innocence after taking someone's life and see what it would be done to you.

Look. Even the devil himself knows when you're lying to his face.

Mungu anapata faida Gani hasa kutuona sisi tunateseka motoni?, does he enjoy it?
You're asking as if God is desperately trying to work out your own destruction.

You're better than this.

Incidentally, that is precisely the kind of questions you should be posing to the father of lies, Lucifer.

Kwa sifa za Mungu, he was there before us, and will be there after us, kwa sifa zake he is all powerful, what is the point of maintaining moto na peponi, kwa ajili yetu?, or we are just his playing toys?
If you can't see the precious gift of life that God has so graciously given us, it's very unfortunate that you surely deserve to die in that lake of fire. Sorry!

Kitu kikubwa Watu wasiojua ni kuwa Biblia haifundishi kuwa kuna eternal fire, au Mungu ni mbaya and enjoys kutesa Watu kwenye moto.
At least we agree on something.
1) No eternal fire 2) God doesn't enjoy punishing a sinner

But:
1) hell fire is real 2) God executes punishment for unrepentant sinners. It's called justice.

Mungu hachomi Watu moto
Nachukulia sentensi hii kwamba haikukamilika. Labda wino umekuishia?

Pengine ingepaswa kuwa:

^Mungu hawachomi moto watu waliotubu na kumtii.^
 
Unakosea kila kitu unapodai kwamba Mungu alikuumba ili aje akutese.

I think very few even worst of the worst can engender and sustain such a concocted notion.

Halafu hakuna kitu kama moto wa milele kwa maana ya kuchomeka milele. Hilo kamwe si fundisho la Biblia.

Hapana sioni ukinzani wowote. Unadhani Mungu hawezi kukuchoma moto, au?

Nitafurahi iwapo utanidodosea japo hizo ^sifa za Mungu^ zinazokinzana na hatua ya kuwaadhibu waovu.

Labda kama sijakuelewa. Lakini kama unamkosoa Mungu, huoni kwamba wewe ndiye ungepeswa kuwa mungu sasa?

Kwa vile unaonekana kubaini mambo ambayo Mungu ^hawezi kuyaona.^

Au sivyo?

Say that to the court of justice as a plea for your innocence after taking someone's life and see what it would be done to you.

Look. Even the devil himself knows when you're lying to his face.

You're asking as if God is desperately trying to work out your own destruction.

You're better than this.

Incidentally, that is precisely the kind of questions you should be posing to the father of lies, Lucifer.

If you can't see the precious gift of life that God has so graciously given us, it's very unfortunate that you surely deserve to die in that lake of fire. Sorry!

At least we agree on something.
1) No eternal fire 2) God doesn't enjoy punishing a sinner

But:
1) hell fire is real 2) God executes punishment for unrepentant sinners. It's called justice.

Nachukulia sentensi hii kwamba haikukamilika. Labda wino umekuishia?

Pengine ingepaswa kuwa:

^Mungu hawachomi moto watu waliotubu na kumtii.^
Swali la Msingi Mungu huwajua Watu Tangu hawajaziliwa hata hatma yao.

Kwa Nini huwa anaruhusu waje Duniani ambapo watatenda dhambi na hawatatubu na mwisho wataenda motoni?
 
Nadhani ww unayesema kuna mbinguni ndio ulete uthibitisho, sasa Mm ntaletaje uthibitisho wa kitu ambacho hakipo.
Acha maneno mengi, tuonyeshe akili yako physically hata kwa picha tu, na kama utashindwa basi fahamu kuwa we si kitu na hauna akili, utake na usitake!!!!
 
Amani ya Mungu muweza wa yote iwe nanyi.

Nimekuwa nikitafakari kuhusu hili suala la kiimani, kuhusu wapi kutakuwa na wakazi wengi kati ya peponi na motoni?

Naomba mnisaidie kusolve kwa ushahidi wa maandiko.
Kuna dini flan inapambana wawe wengi, ni tawi la shetani
Obvious watakuwa wengi rate ya kuzaana iko juu wanazimizana wawe wengi,
 
Swali la Msingi Mungu huwajua Watu Tangu hawajaziliwa hata hatma yao.

Kwa Nini huwa anaruhusu waje Duniani ambapo watatenda dhambi na hawatatubu na mwisho wataenda motoni?
Kwa nini wapo watu wanaochagua kumtumikia Mungu na ambao hatimaye wataokolewa?

Kwa nini lipo kundi moja ambalo ni tiifu na aminifu kwa Mungu licha ya ubaya na uovu wote duniani?

Kwa nini watoto wawili wa familia moja waliolelewa katika maadili yaleyale kama Kaini na Habili hatimaye hukua na kufuata mapito tofauti, mmoja akichagua mema wakati mwenzie akigeukia njia ya upotevu?
 
Back
Top Bottom