Chinese blade
JF-Expert Member
- May 15, 2023
- 337
- 366
Maono yangu yanaweza yakawa opposite na ukweli,,,,!!!what do you see
Hakuna MotoAmani ya Mungu muweza wa yote iwe nanyi.
Nimekuwa nikitafakari kuhusu hili suala la kiimani, kuhusu wapi kutakuwa na wakazi wengi kati ya peponi na motoni.???
Naomba mnisaidie kusolve kwa ushahidi wa maandiko.
Prove!!!Hakuna Moto
Watu wote wataenda peponi.
Kwa Nini Mungu mwenye huruma na hekima akuumbe bila idhini yako alafu akuchome moto
Nimekusoma vilivyo mkubwa,,,,,!!!Kasome mathayo 7 mstari wa 13 na 14.
Enter through the narrow gate. Which leads you to paradise.
But many people chose the wider gate with broad road to the destruction.
How do you prove kuna Moto?Prove!!!
Naamini hivi pia.Hakuna cha motoni wala mbinguni, ukifa n umekufa nothing more.
Atakayebisha anithibitishie kwa mfano hai.
Kama hakuna uthibitisho wa uwepo wa motoni bc pia hakuwezi kuwa na uthibitisho wa uwepo wa mbinguni.How do you prove kuna Moto?
Mimi hoja yangu ni hivi.
Mungu alituumba na utashi na Uhuru wa kufanya tunayotaka (Kulingana na mufundisho na dini).
Kama angeweza kutuumba wanyama au mimea hili tusiwe na dhambi yeye akachagua kutuumba binadamu akijua tuta asi na kutenda dhambi, why he went ahead na uumbaji wetu
kutuumba binadamu na kutupa akili na utashi wa kufanya tunachotaka alafu aje atuchome moto kwa maamuzi yake ukatili wa Hali ya juu.
And what the use of hao Watu wakao kuwa peponi, Mungu anawatumia kumfanyia Nini?
They way we normally try to depict God, kwa mawazo yetu Binafsi weather ni rational or not
Maneno yako ni mazuri ila yametoka wapi???How do you prove kuna Moto?

Na ndio maana nikasema ni suala la kiimani, means religion faith, ukiwa muumini wa dini lazima uamini kuhusu Mungu, shetani na moto na pepo, ikiwa huamini kwenye hivyo you are illegal to give the answers!!!Hakuna cha motoni wala mbinguni, ukifa n umekufa nothing more.
Atakayebisha anithibitishie kwa mfano hai.
Means kwamba imani haina uthibitisho wa mambo yake.?Ndio maana nikasema ni suala la kiimani, means religion faith, ukiwa muumini wa dini lazima uamini kuhusu Mungu, shetani na moto na pepo, ikiwa huamini kwenye hivyo you are illegal to give the answers!!!
Upo na wapo walioprove, je hayo yako imeyatoa wapi????Means kwamba imani haina uthibitisho wa mambo yake.?