Wapi Kwa Tanzania inalimwa hii, au wapi miche inaweza patikana?

Wapi Kwa Tanzania inalimwa hii, au wapi miche inaweza patikana?

CHASHA FARMING

JF-Expert Member
Joined
Jun 4, 2011
Posts
7,872
Reaction score
9,263
mulberry-fruit.jpg

gardening-graphics_1068112a.jpg

Kuna mahali haya matunda yanalimwa? au miche inapatiakana? kwa anaye weza kujua basi anifahamishe mara moja, sana sana miche yake.
 
Ipo arusha mkuu, kuna mzungu anayalima na anamiliki hekari zaidi ya 50 ya haya matunda!
 
mulberry-fruit.jpg

gardening-graphics_1068112a.jpg

Kuna mahali haya matunda yanalimwa? au miche inapatiakana? kwa anaye weza kujua basi anifahamishe mara moja, sana sana miche yake.

Mkuu hayo matunda ni shida sana kupata mbegu yake. Ila ukipata mti kama huo uliokuwa vizuri unakata matawi yenye vichipukizi iwe na urefu wa cm30 hivi. Kisha unayatoa majani kwenye hiko kitawi halafu unakipanda kama tunavyopanda miti ya mihogo vile. Ila shimo unaliwekea samadi kidogo mchezo umekwisha.

Wiki 3 baada ya kupanda na umwagiliaji wa maji wa kutosha (asubuhi na jioni) utaona vile vichipukizi vinaanza kuota na mti unakuwa, ni rahisi sana mkuu kuotesha huo mti.
 
Back
Top Bottom