Wapi Kwa Tanzania inalimwa hii, au wapi miche inaweza patikana?

mulberry-fruit.jpg

gardening-graphics_1068112a.jpg

Kuna mahali haya matunda yanalimwa? au miche inapatiakana? kwa anaye weza kujua basi anifahamishe mara moja, sana sana miche yake.

Link hapo chini mkuu

https://www.youtube.com/watch?v=rdm5ARzrFbc
 
Watu mmeweka uzungu mno. Ni miforosadi kwa lugha iliyozooeleka.Meru imjaa tele na Moshi.matunda mekundu machachu bado hayajaiva vizuri, Hayo ya zambarau ndiyo yameiva matamu.tulikuwa tunajipaka mdomoni.majani yake yanapendwa sana na mbuzi. Unaotesha kimti. Na siyo mbegu.nenda Meru maeneo ya Sing'isi kuanzia hapo darajani mto malala watu wameotesha sana kwaajili ya majani ya mbuzi.
 
Yanapandwa kama fensi kuzunguka shamba..
 
Hata sisi kwetu Kilimanjaro yapo. Mti wake hupandwa sana kwenye mipaka ya eneo au pembezoni mwa nyumba.
 
Back
Top Bottom