N Nitafika Mbinguni Member Joined May 8, 2020 Posts 12 Reaction score 6 May 10, 2020 #1 Jamani naombeni kuuliza, je ni wapi naweza pata soko zuri la unga wa ubuyu kwa hapa Tanzania na nje ya Tanzania?
Jamani naombeni kuuliza, je ni wapi naweza pata soko zuri la unga wa ubuyu kwa hapa Tanzania na nje ya Tanzania?
Bujibuji Simba Nyamaume JF-Expert Member Joined Feb 4, 2009 Posts 76,107 Reaction score 160,001 May 10, 2020 #2 Wee tangaza tu, kuwa unga huo unatibu Corona na nguvu zakiume, utauza Hadi utamani mchicha uzae mibuyu
Wee tangaza tu, kuwa unga huo unatibu Corona na nguvu zakiume, utauza Hadi utamani mchicha uzae mibuyu