Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hawa wataalamu siku hizi wamekuwa zaidi ya madalali asee ! Nawajua sana ! Wengi wanataka wakuagizenhuku mbeya/ iringa kwa pesa wanazotaka wao..Nenda temeke vetenary wizarani tafuta mtaalamu watakuelekeza vizuri kupata unachohitaji.
Ikiwa wewe ni mfugaji tayari. Ongea na daktari wa mifugo mzoefu wa eneo lako.
Ukinikimbusha kesho, nitakuulizia kwa mtu. Sema sahivi saa 8 kesho nitakumbuka kweliAsee sasa Mh. Anaweza uza kweli! Sema nataka siku 1 nijaribu bahati yangu!
Kesho ukiiulzwa kuhusu ng'ombe unaanza kujiulza ww na ng'ombe wap na wap mara una conection kikwete anaweza muuzia ng'ombe wake haya ngoja pakuche😂Ukinikimbusha kesho, nitakuulizia kwa mtu. Sema sahivi saa 8 kesho nitakumbuka kweli
nitakuulizia nitakupa jibuMagereza ya wapi?
Kama pale temeke wote wako hivyo au wana tabia hiyo. Njoo duka la famers center ilala kona ya kwenda amana hospitali utapata msaada. Wale wana connection ya wafugaji wengi na wao wenyewe wanafuga unaweza ukapata mbegu kwa boss mwenyewe. Pia omba invitation tarehe 1/5 kutakuwa na semina. Itakulink na wafugaji wengi na ukija semina mengi utayajua.Hawa wataalamu siku hizi wamekuwa zaidi ya madalali asee ! Nawajua sana ! Wengi wanataka wakuagizenhuku mbeya/ iringa kwa pesa wanazotaka wao..
Mkuu naomba maelekezo kufika hapo chalinze kwa Kikwete wanapofuga hao ng'ombe wa maziwa nahitaji ngombe na kujfiunza pia asante sana..Nadhani fika kwa jk ongea na meneja wa project yake na elezea Nia yako unaweza kufanikiwa kupata mtamba bora kabisa