Wapi Majina ya waliochaguliwa Kidato cha Kwanza 2015?

Wapi Majina ya waliochaguliwa Kidato cha Kwanza 2015?

Mimi sidhani kuwa yale wanaweka kwenye mtandao.Majina yanapelekwa halmashauri za manispaa /Wilaya. kwa ajili ya shule zao za kata.
 
shule za msingi na sekondari (o-level) zipo chini ya TAMISEMI
ndio maana vibao vya kuonesha hizo shule siku hizi haviandikwi wwizara ya elimu .... bali Halmashauri ya kijiji/mji/ jiji nk
 
Nilifanikiwa kuyaona majina kwenye mbao za matangazo katika Ofisi za Halmashauri yangu. Hata wale waliochaguliwa kwenda nje ya Halmashauri/Mkoa (wenye ufauru mzuri) yamebandikwa huko.
 
Back
Top Bottom