shule za msingi na sekondari (o-level) zipo chini ya TAMISEMI
ndio maana vibao vya kuonesha hizo shule siku hizi haviandikwi wwizara ya elimu .... bali Halmashauri ya kijiji/mji/ jiji nk
Nilifanikiwa kuyaona majina kwenye mbao za matangazo katika Ofisi za Halmashauri yangu. Hata wale waliochaguliwa kwenda nje ya Halmashauri/Mkoa (wenye ufauru mzuri) yamebandikwa huko.