Wapi Massawe Mtata?

Ngengemkenilomolomo

JF-Expert Member
Joined
Mar 21, 2015
Posts
270
Reaction score
450
Kwa anaejua alipo & anapiga mishe gan huyu aliekua comedian wa ze komedi ya EATV atutonye[SUP].[/SUP] Maana siku hizi simuoni kabisa Ze Komedi, alikuaga anafit sana hasa kwenye segment ya mazuzu ingawa Bambo (mama solomonii) nae anafit.

Kama aliacha kwanini aliacha? Yoyote ambae anajua kumuhusu plz atupashe.
 
mi siangaliagi hicho kipindi,ngoja nisepe zangu
 
Ni shiida nikikupa habari zake utalia,,,,, mimi namfahamu sana,,,, eeeeh mola tusaidie ,,,,,
 
Jamaa alikuwa vizuri sana kwenye comedy,naona ghafla amepotea kwenye game.
 
Please tunaomba hizo habari zake.Kama ni nzito sana unaogopa ile sheria nitumie kwa PM.

Shoga angu unapenda ubuyu hahahahahaaaaa
Ukiupata plzzzzzzzz unishirikishe maana naona hataki kusema public
 
Shoga angu unapenda ubuyu hahahahahaaaaa
Ukiupata plzzzzzzzz unishirikishe maana naona hataki kusema public

Hahahahahaa acha tu.Sijui atanitumia huyu mtu? Sasa wewe nitakuambiaje na umefunga pm?
Basi nitaenda kukuambia kule kwetu.
 
Hahahahahaa acha tu.Sijui atanitumia huyu mtu? Sasa wewe nitakuambiaje na umefunga pm?
Basi nitaenda kukuambia kule kwetu.
Ndio mamy uje uniambie ata kwa signal maana namimi nishaanza kuwa mbea
 
naona maneno mingi tuu hapa..

I guess, atakuwa anauza duka huko moshi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…