Wapi mdau miwani za mbao

VAPS

JF-Expert Member
Joined
Jul 10, 2012
Posts
5,610
Reaction score
13,168
Kabadili ID ama kapata uteuzi!? Alikuwa very fast kujibu na kuchangia hoja kwa mantiki ,logical
 
Jamaa alikuwa msaada mkubwa sana Tim Fisi.Tofauti na kina jingalao na Isis japo nao tumewazoea kutujazia kurasa kwa unyumbu wao.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…