Wapi Mdude? Aibu ya Taifa: Kwanini tumesahau haki yake?

kwanini wewe umekaa kimya na taarifa za uhakika kumuhusu unazo?
huoni kwamba nawe unashiriki kikamilfu kudhulumu haki na stahiki zake gentleman?🐒
 
Hata kufa kwa nchi kulianza hivi hivi tupo steji pili asilimia 90 ikifika ya tatu hakuna wa kuzuia.
 
kwanini wewe umekaa kimya na taarifa za uhakika kumuhusu unazo?
huoni kwamba nawe unashiriki kikamilfu kudhulumu haki na stahiki zake gentleman?🐒
We Fara anajibu kifara
 
Familia yake mwenyewe wamemsahau hawamdai inashangaza
 
Nchi yetu hatuna elimu ya kutambua
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…