Uchaguzi 2020 Wapi Mheshimiwa Membe?

Uchaguzi 2020 Wapi Mheshimiwa Membe?

thetallest

JF-Expert Member
Joined
Oct 21, 2017
Posts
8,271
Reaction score
9,113
Kiongozi huyu alikua akijinasibu kwamba ana kundi kubwa ndani ya ccm aliyowaita ccm asili ambao hawakubaliani na mwenyekiti wa sasa na wako tayari kuungana nae kupindua meza .

Chakushangaza alizundua kampeni Lindi zikiwa zimepooza sana .
Haukupita muda akasema tarehe 15/08/2020 mambo yatakua moto tukae mkao kabambe wa amsha amsha.

Gafla akaonekana airport akielekea Dubai ,alipoulizwa akasema ni utaratibu wake wa kawaida mara nne kwenda nchi hiyo kwa shughuli zake binafsi ikiwemo na kucheki afya yake .
Haukupita muda akarejea huku akilalamika.msaidizi wake Mr.LUANDA katekwa .
Jeshi la polisi nalo halikuchukua muda kujibu madai yake ,yakwamba msaidizi huyo wanamshikiria kwa utakatishaji fedha .
Kuanzia hapo haonekani wala hasikiki kabisa kufanya kampeni ,kulikoni?

Au ndio ule usemi ya kwamba ukisha kuwa nje ya mfumo unakuwa kama samaki nje ya maji ?
Hakika kila anayejaribu kuitikisa ccm huambalia madhara makubwa sana .

Hii taasisi (chama) kinamfumo gani kiasi kwamba wote waliojaribu kukitikisa walikwama na wallishia kujisalimisha ili kunusuru kidogo walichonacho including uhai .
Hakika ccm naifananisha na MOSSAD ,KGB,CIA, MIG 16 etc!
 
Pesa ya kampeni kutoka Dubai imekamatwa na huyo msaidizi wake, Membe amegoma kutiwa umaskini kwa kuuza mali zake ili agharamie kampeni za chama.
 
Asijitingishe sindano imuingie
IMG-20200908-WA0008.jpeg
 
Membe haamini kinachomtokea,liwe funzo kwa wengine ,hakujifunza kwa Lowassa alierudi kundini pamoja na ukwasi na ushawishi aliokua nao .

Sikio la kufa hilo
 
Kiongozi huyu alikua akijinasibu kwamba ana kundi kubwa ndani ya ccm aliyowaita ccm asili ambao hawakubaliani na mwenyekiti wa sasa na wako tayari kuungana nae kupindua meza .

Chakushangaza alizundua kampeni Lindi zikiwa zimepooza sana .
Haukupita muda akasema tarehe 15/08/2020 mambo yatakua moto tukae mkao kabambe wa amsha amsha.

Gafla akaonekana airport akielekea Dubai ,alipoulizwa akasema ni utaratibu wake wa kawaida mara nne kwenda nchi hiyo kwa shughuli zake binafsi ikiwemo na kucheki afya yake .
Haukupita muda akarejea huku akilalamika.msaidizi wake Mr.LUANDA katekwa .
Jeshi la polisi nalo halikuchukua muda kujibu madai yake ,yakwamba msaidizi huyo wanamshikiria kwa utakatishaji fedha .
Kuanzia hapo haonekani wala hasikiki kabisa kufanya kampeni ,kulikoni?

Au ndio ule usemi ya kwamba ukisha kuwa nje ya mfumo unakuwa kama samaki nje ya maji ?
Hakika kila anayejaribu kuitikisa ccm huambalia madhara makubwa sana .

Hii taasisi (chama) kinamfumo gani kiasi kwamba wote waliojaribu kukitikisa walikwama na wallishia kujisalimisha ili kunusuru kidogo walichonacho including uhai .
Hakika ccm naifananisha na MOSSAD ,KGB,CIA, MIG 16 etc!
Yupo mikwabi
 
Mimi naona Membe kama anafanya maigizo,dunia ya leo nani anakuja na gunia la fedha?
Pesa inasafirishwa kwa mitandao tena kwa muda mfupi sana.
 
Kiongozi huyu alikua akijinasibu kwamba ana kundi kubwa ndani ya ccm aliyowaita ccm asili ambao hawakubaliani na mwenyekiti wa sasa na wako tayari kuungana nae kupindua meza .

Chakushangaza alizundua kampeni Lindi zikiwa zimepooza sana .
Haukupita muda akasema tarehe 15/08/2020 mambo yatakua moto tukae mkao kabambe wa amsha amsha.

Gafla akaonekana airport akielekea Dubai ,alipoulizwa akasema ni utaratibu wake wa kawaida mara nne kwenda nchi hiyo kwa shughuli zake binafsi ikiwemo na kucheki afya yake .
Haukupita muda akarejea huku akilalamika.msaidizi wake Mr.LUANDA katekwa .
Jeshi la polisi nalo halikuchukua muda kujibu madai yake ,yakwamba msaidizi huyo wanamshikiria kwa utakatishaji fedha .
Kuanzia hapo haonekani wala hasikiki kabisa kufanya kampeni ,kulikoni?

Au ndio ule usemi ya kwamba ukisha kuwa nje ya mfumo unakuwa kama samaki nje ya maji ?
Hakika kila anayejaribu kuitikisa ccm huambalia madhara makubwa sana .

Hii taasisi (chama) kinamfumo gani kiasi kwamba wote waliojaribu kukitikisa walikwama na wallishia kujisalimisha ili kunusuru kidogo walichonacho including uhai .
Hakika ccm naifananisha na MOSSAD ,KGB,CIA, MIG 16 etc!
Kwenye ujasiriamali umri nimuhimu 'entry age in entrepreneurship is very important for aggressive selling' kwenye siasa inategemea 'selfimage'
 
Kiongozi huyu alikua akijinasibu kwamba ana kundi kubwa ndani ya ccm aliyowaita ccm asili ambao hawakubaliani na mwenyekiti wa sasa na wako tayari kuungana nae kupindua meza .

Chakushangaza alizundua kampeni Lindi zikiwa zimepooza sana .
Haukupita muda akasema tarehe 15/08/2020 mambo yatakua moto tukae mkao kabambe wa amsha amsha.

Gafla akaonekana airport akielekea Dubai ,alipoulizwa akasema ni utaratibu wake wa kawaida mara nne kwenda nchi hiyo kwa shughuli zake binafsi ikiwemo na kucheki afya yake .
Haukupita muda akarejea huku akilalamika.msaidizi wake Mr.LUANDA katekwa .
Jeshi la polisi nalo halikuchukua muda kujibu madai yake ,yakwamba msaidizi huyo wanamshikiria kwa utakatishaji fedha .
Kuanzia hapo haonekani wala hasikiki kabisa kufanya kampeni ,kulikoni?

Au ndio ule usemi ya kwamba ukisha kuwa nje ya mfumo unakuwa kama samaki nje ya maji ?
Hakika kila anayejaribu kuitikisa ccm huambalia madhara makubwa sana .

Hii taasisi (chama) kinamfumo gani kiasi kwamba wote waliojaribu kukitikisa walikwama na wallishia kujisalimisha ili kunusuru kidogo walichonacho including uhai .
Hakika ccm naifananisha na MOSSAD ,KGB,CIA, MIG 16 etc!
Tatizo kubwa la Membe ni kushinda mitandaoni na kufikiri Kigogo ananguvu na Watu wa maana nyuma yake kumbe anajidanganya jamani amepata aibu ya mwaka hapa hatamani na hana nguvu ya kupanda jukwaani kabisa.
mshauri wake wa karibu amwambia ajikaze tu sio kwa ubaya 😂
2020 tunarudi na MAGUFULI tena so labda asubiri 2025 huko
 
Tatizo kubwa la Membe ni kushinda mitandaoni na kufikiri Kigogo ananguvu na Watu wa maana nyuma yake kumbe anajidanganya jamani amepata aibu ya mwaka hapa hatamani na hana nguvu ya kupanda jukwaani kabisa.
mshauri wake wa karibu amwambia ajikaze tu sio kwa ubaya [emoji23]
2020 tunarudi na MAGUFULI tena so labda asubiri 2025 huko
Kapigwa knokout ya hatari
 
Hivi hamkujua kuwa Membe atampisha Lissu?
Deal done
 
Back
Top Bottom