thetallest
JF-Expert Member
- Oct 21, 2017
- 8,271
- 9,113
Kiongozi huyu alikua akijinasibu kwamba ana kundi kubwa ndani ya ccm aliyowaita ccm asili ambao hawakubaliani na mwenyekiti wa sasa na wako tayari kuungana nae kupindua meza .
Chakushangaza alizundua kampeni Lindi zikiwa zimepooza sana .
Haukupita muda akasema tarehe 15/08/2020 mambo yatakua moto tukae mkao kabambe wa amsha amsha.
Gafla akaonekana airport akielekea Dubai ,alipoulizwa akasema ni utaratibu wake wa kawaida mara nne kwenda nchi hiyo kwa shughuli zake binafsi ikiwemo na kucheki afya yake .
Haukupita muda akarejea huku akilalamika.msaidizi wake Mr.LUANDA katekwa .
Jeshi la polisi nalo halikuchukua muda kujibu madai yake ,yakwamba msaidizi huyo wanamshikiria kwa utakatishaji fedha .
Kuanzia hapo haonekani wala hasikiki kabisa kufanya kampeni ,kulikoni?
Au ndio ule usemi ya kwamba ukisha kuwa nje ya mfumo unakuwa kama samaki nje ya maji ?
Hakika kila anayejaribu kuitikisa ccm huambalia madhara makubwa sana .
Hii taasisi (chama) kinamfumo gani kiasi kwamba wote waliojaribu kukitikisa walikwama na wallishia kujisalimisha ili kunusuru kidogo walichonacho including uhai .
Hakika ccm naifananisha na MOSSAD ,KGB,CIA, MIG 16 etc!