Wapi Misanya Bingi & Dena Amsi?

Misanya bingi (kati) pamoja na aboubakary liongo kwa mzee mvungi sehemu za mbezi samaki. misanya bingi, ambaye umahiri wake katika utangazaji pale itv unakumbukwa hadi leo, hivi sasa ni mhadhiri msaidizi idara ya sosholojia wa chuo kikuu udsm.
 
Huyu yuko udsm, department ya sociology.
 
Yupo jamani anafundisha ukienda utampata!hata leo nenda tu!yupo amejaa!
 
Rest easy Misanya Dismas Bingi, kwa sie vijana wa zamani tunakumbuka umahiri wako wakati ukiwa radio one stereo.
 
Wewe Triple A tafadhali usije kuniulizia. Hawa uliowahi kuwaulizia wote leo hii hawapo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…