Wapi Misanya Bingi & Dena Amsi?

Misanya Bingi, kitambo sana aise kumbe now a days ni lecturer.
Abarikiwe sana I think ndiye pia alimfungua 'double G' that time
 
kwa wanaofahamu hawa watu walipo pls naomba wanijuze........
Mkuu, naomba usije ukanianzishia uzi wa kunitafuta humu jf......[emoji45] [emoji45]
Maana ulicho wafanyia hao wawili, hadi nimekuogopa...[emoji53] [emoji53]
 
Misanya Bingi, kitambo sana aise kumbe now a days ni lecturer.
Abarikiwe sana I think ndiye pia alimfungua 'double G' that time
Uwe unaangalia na comment za wengine mkuu. Hapa wana sema katutoka juzi, wee una comment ki hivo😳
 
Duu inatisha aisee
Hapa kuna lililo jambo zito kidogo ambalo limejificha....
Na huyu mleta thread nina hakika kuna jambo alilifahamu na pengine hakutaka kuliweka wazi.
 
Hapa swali ni kwamba...
1. Kwanini wote walio tajwa na mleta mada tayari wamefariki?
2. Kwanini aliwataha hao wawili na hakutaja wengine?
3. Kwanini alikua amewataja wote, je walikua wana fahamiana ama hata ukaribu wowote?
Duuh swali la kidetective kabisa hili. Ila Dena alifariki mwaka jana ee
 
Duuh swali la kidetective kabisa hili. Ila Dena alifariki mwaka jana ee
Ndio mkuu, yaani hapa bado nina maswali kadhaa ya kumuuliza huyu mleta uzi.
Yaani inatakiwa akuje na atuambie nini hasa kilicho msukuma hadi akaandika huu uzi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…