kingcomrade
Member
- Jun 11, 2014
- 7
- 0
Nataka kujiajili lakini mtaji sina je wapi nitapata mkopo bila mali isio hamishika?
Nataka kujiajili lakini mtaji sina je wapi nitapata mkopo bila mali isio hamishika?
mkuu ni kweli hii kitu ipo?Na amount ambayo unaweza kupewa ni kuanzia kiasi gani?Crdb unaenda na chet chako cha degree unakiweka lehani
mkuu ni kweli hii kitu ipo?Na amount ambayo unaweza kupewa ni kuanzia kiasi gani?
ingekua unaenda na cheti unaweka rehani si kila mtu angeenda kuchkua hela jaman...manake saivi vimekua mapambo tu havina kazi
wakati mwingine ubishi sio mzuri..
CRDB wanatoa mikopo kwa graduates unatakiwa uwe na GPA ya upper second nakuendelea unaweka cheti rehani
huo mkopo unaitwaje?
kaka nilishaenda crdb wakanambia hawana utaratibu wakuacha cheti kama dhamanacrdb unaenda na chet chako cha degree unakiweka lehani