Wapi na pata mkopo bila mali isio hamishika

Wapi na pata mkopo bila mali isio hamishika

kingcomrade

Member
Joined
Jun 11, 2014
Posts
7
Reaction score
0
Nataka kujiajili lakini mtaji sina je wapi nitapata mkopo bila mali isio hamishika?
 
Nataka kujiajili lakini mtaji sina je wapi nitapata mkopo bila mali isio hamishika?

Kwa Tanzania ilo ni tatizo kubwa kupata mitaji ndo maana inashauluwa muunde vikundi ni rahisi kupata mikopo kuliko ukiwa kivyako vyako
 
ingekua unaenda na cheti unaweka rehani si kila mtu angeenda kuchkua hela jaman...manake saivi vimekua mapambo tu havina kazi
 
ingekua unaenda na cheti unaweka rehani si kila mtu angeenda kuchkua hela jaman...manake saivi vimekua mapambo tu havina kazi

wakati mwingine ubishi sio mzuri..

CRDB wanatoa mikopo kwa graduates unatakiwa uwe na GPA ya upper second nakuendelea unaweka cheti rehani
 
huo mkopo unaitwaje?

Actually sijui jina lake but walileta taarifa serikalini na hata vyuoni wanafunzi wanaomaliza wanajua hilo wenyewe wanaweza kuwa na full details but nijuacho ni kuwa uamuzi umefikiwa na mhitimu aweza patiwa mkopo wakumwezesha kiujasiriamali kwa kuweka rehani cheti chenye ufaulu wa upper second nakuendelea
 
Back
Top Bottom