Wapi Nakaaya Sumari

Wapi Nakaaya Sumari

sexologist

JF-Expert Member
Joined
Dec 5, 2010
Posts
2,276
Reaction score
976
Wanajamvi habari Zenu.. Huyu binti Nakaaya nimemkumbuka baada ya kusikia nyimbo yake ya Mr.Politician.. Kwa kweli ulikuwa ni wimbo mzuri sana kwa wanasiasa wetu.. Hasa hawa wa chama cha..

Mara ya mwisho nilimuona mwaka 2010 pale uwanja wa sheikh abeid Arusha aliporudisha kadi ya magwanda na kupewa ya magamba na mwnykt wa CCM taifa.
 
anafanya biashara ya k tu na wathungu
 
Tangu anunuliwe na MR. POLITICIAN kwa milion 3 amekua akiishi kimachale.
Ndoto za label ya SONY zimeyeyuka na sasa ameotea label NOIZY MAKER (kastudio flani arusha).
Ametoa Nyimbo flani ya mapenzi imebuma.
 
kalaaniwa. sasa hivi angekuwa mjengo kupitia chadema moshi vijijini.
 
mara ya mwisho nilikutana nae pub moja mitaa ya ilboru yuko na zee la kizungu.nilisikitika sana!!
 
mara ya mwisho nilikutana nae pub moja mitaa ya ilboru yuko na zee la kizungu.nilisikitika sana!!

Naye siku hizi muke ya muzungu? Ndoto ya kuwa muke ya mumarekani imeyeyuka baada ya kutemwa na M1(Dead prez)!
 
Wanajamvi habari Zenu.. Huyu binti Nakaaya nimemkumbuka baada ya kusikia nyimbo yake ya Mr.Politician.. Kwa kweli ulikuwa ni wimbo mzuri sana kwa wanasiasa wetu.. Hasa hawa wa chama cha..

Mara ya mwisho nilimuona mwaka 2010 pale uwanja wa sheikh abeid Arusha aliporudisha kadi ya magwanda na kupewa ya magamba na mwnykt wa CCM taifa.

yupo kule chombongo na kibosile fulani hivi..
 
Duuh.. Huyu dada alikuwa kwenye njia sahihi ila alipohama tu.. Ndo hapo akapotea mazima. Nilitaraji nimuone ktk kampeni za Yule sumari Wa arumeru east.. Japo si ndugu ila majina ya wazazi yanafanana so hata wangesema bi ndugu tungekubali tu. Nahisi angefabikisha ushindi Wa Yule jamaa.

Ila nampa pole.. Ndo basi tena kwenye siasa na mziki Wa bongo.
 
huyu hapa

423405_10150647307541280_629301279_11354020_452269489_n.jpg
 
Yuko tu town. Aliajiriwa kampuni moja ya Utalii Usa-River, wakazinguana na demu moja ofisi ya uhasibu. Nakaaya nusura amng'oe taya huyo Binti. Kasepa kaacha na kazi.

Ukienda Duluti on weekends mnaweza kukutana
 
Back
Top Bottom