Quinton Canosa
JF-Expert Member
- Nov 2, 2012
- 1,224
- 1,250
Nipo arusha mkuuUpo mkoa gani
Sijakuelewa mkuuHapa home naitumia sana chess kila ninapo pika pizza.....😋
Hah muulize Bure au atalipia Muda wangu??online au tutakutana??
Jirani acha bangi basi! 😀Hapa home naitumia sana cheese kila ninapo pika pizza.....😋
Kitu inakua mdebwedo kama zenji...☺
Ngoja aje... na mimi je unanifundisha lini?Hah muulize Bure au atalipia Muda wangu??online au tutakutana??
Every Pawn is a potential queen,
Nachaji kwa dakika,kwa kichwa yako ilivyo slow nitakufilisiNgoja aje... na mimi je unanifundisha lini?
Nipo arusha kama vipi tuwasilianeUnajua ABC za chess,hata kupanga tu Kete
Ndio tunawasiliana Mkuu,Mimi sio mwalimu..ila nacheza so funguka walimu na wakali wengine wachangieNipo arusha kama vipi tuwasiliane
Kwenye draft kete zote zinaenda mbele,but kwenye chess Kila kete Ina movements zake,Pawn,King, Knight, tower,Queen,wote Wana moves tofautiKweli tena mi nlikua najua wanacheza kama draft.
Karibu mjini...😊Sijakuelewa mkuu
Jirani, tulisha kubaliana kwamba ukijiskia kuchamba koo hapa Platinums, basi usikomenti humu ndani maana hauchelewi kuharibu...🤣Jirani acha bangi basi! 😀