Wapi nampata mwalimu wa Chess

Wapi nampata mwalimu wa Chess

Quinton Canosa iwapo bado hujapata mwalimu mpaka sasa naweza kukuconnect naye. Pia angalia Ipyana foundation wana events nyingi za chess Arusha ni rahisi kupata wadau.
 
Back
Top Bottom