Wapi napata kaunda suti maridadi?

Mlimani city ✍
kariakoo, πŸ‘ au
manzese ambako unaweza uziwa kipande cha gunia au wakaondoka na waleti
 
Raha ya shughuli ndizi mbivu....πŸ™‚
 
Kuongezea tu wadau , hivi naweza kuvalia joho ka graduation hii kitu? Maana sijawahi vaa joho
 
Sasa suti utanunuwa wapi kama siyo dukani?
Duh, watu mmevurugwa na wagombea wa CHADEMA kukatwa kila mahali nini? Mbona mmekuwa wakali hivyo? Kwani ungesema tu ni "duka" ungepungukiwa nini? Najua mwamba naye amezingua lakini tumvumilie tu! Halafu jingine hapo juu limemjibu eti gereji bibi!😁😁
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…