Wapi napata mashine za kutengeneza mifuko ya paper bags kwa hapa Dar

Wapi napata mashine za kutengeneza mifuko ya paper bags kwa hapa Dar

Hiyo mifuko sio iliyotangazwa kuwa kuanzia June 1 ni marufuku kutumika?
 
Wakuu.

Natafuta mashine za kutengeneza mifuko ya paper bags kwa hapa Dar es Salaam..

Plz inbox

Sent using Jamii Forums mobile app
Kaka hujui unanichotafuta paper bags hazitegenezwi na machine moja, kwa mfano kuna machine ya downsize karatasi machine ya kugundisha binding ya printing machine nk....au unamanisha kiwanda cha packaging

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ndio sasa wewe unayejua unielekeze wapi naweza kuzipata na bei zake. Nimeona fursa hapo na nina ela so nataka niinvest katika hilo.
Kaka hujui unanichotafuta paper bags hazitegenezwi na machine moja, kwa mfano kuna machine ya downsize karatasi machine ya kugundisha binding ya printing machine nk....au unamanisha kiwanda cha packaging

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Zamani tulikuwa hatutumii mashine,Tulitumia sana uji wa muhogo.
 
Back
Top Bottom