Wapi napata mashine za kutengeneza mifuko ya paper bags kwa hapa Dar

Wapi napata mashine za kutengeneza mifuko ya paper bags kwa hapa Dar

Kuna kipindi Dar es Salaam, Wonder Workshop walikuwa wanatengeneza karatasi zilizokuwa recycled pamoja na vitu kama daftari, mifuko, kalenda, nk ila nasikia gharama za uendeshaji zilikuwa kubwa, wakapelekewa kodi maradufu ikabidi wafunge. Pale walikuwa na kina mama na kina baba hasa wenye ulemavu wanapewa ujuzi nakujipatia ajira. Nilisikitika sana walipo funga. Nimekuta simu yao mtandaoni: +255 754 051 417, jaribu labda iko hewani na wanaweza kukushauri zaidi
 
Back
Top Bottom