Pagan Amum
JF-Expert Member
- Aug 28, 2015
- 1,932
- 4,403
Kaka hujui unanichotafuta paper bags hazitegenezwi na machine moja, kwa mfano kuna machine ya downsize karatasi machine ya kugundisha binding ya printing machine nk....au unamanisha kiwanda cha packagingWakuu.
Natafuta mashine za kutengeneza mifuko ya paper bags kwa hapa Dar es Salaam..
Plz inbox
Sent using Jamii Forums mobile app
Kaka hujui unanichotafuta paper bags hazitegenezwi na machine moja, kwa mfano kuna machine ya downsize karatasi machine ya kugundisha binding ya printing machine nk....au unamanisha kiwanda cha packaging
Sent using Jamii Forums mobile app
Hiyo mifuko sio iliyotangazwa kuwa kuanzia June 1 ni marufuku kutumika?
Karatasi ni nini?Kaandika ya karatasi!!!
Hapana paper bags ndo inayotakiwa niRAFIKI WA MAZINGIRAHiyo mifuko sio iliyotangazwa kuwa kuanzia June 1 ni marufuku kutumika?
PaperKaratasi ni nini?
Cheki alibabaWakuu.
Natafuta mashine za kutengeneza mifuko ya paper bags kwa hapa Dar es Salaam..
Plz inbox
Sent using Jamii Forums mobile app
Umefanikiwa??? Na mimi nahitaji
Yap Mkuu. nimefanikiwa
Ikoje bosi...gharama
Ya bei chee kabisa dolla 15,000 India. kwa China Dolla 20,000... bei ya kununua tu. hapo bado kusafirisha na makochokocho za bandarini hapa Dar