Wapi napata Master room ya kupanga kwa 100k Dar es Salaam

Wapi napata Master room ya kupanga kwa 100k Dar es Salaam

Aventus

JF-Expert Member
Joined
Mar 8, 2013
Posts
2,011
Reaction score
2,168
Wakuu kwema?

Msaada kwenye tuta, nimepata ajira posta, nahitaji room yenye choo kwa 100k na sehem ambayo ni rahisi kufikika na kwenda kazi, kama gari nikipanda moja linatosha.kuwe na maji ya kuaminika.

Mkinipa na connection itapendeza zaidi
 
Kigamboni gharama za usafiri zipo juu, bajaji au pikipiki hadi ferry 700/1000 bado akivuka achukue boda 2000 bajaji 1000 au kutembea umbali mrefu kwenda na kurudi si chini ya 2800

Nashauri Magomeni/Makumbusho/Sinza/Tandale gari 1 kwenda na kurudi 1200
Labda Magomeni Makumbusho hatua,Tandale kama issue ni kubana matumizi huko hakuna gari za moja kwa moja posta.

Sinza napo ni pazuri kasoro mtu mwenye malengo hakumfai kunasahaulisha sana akili.
 
Wakuu kwema?

Msaada kwenye tuta, nimepata ajira posta, nahitaji room yenye choo kwa 100k na sehem ambayo ni rahisi kufikika na kwenda kazi, kama gari nikipanda moja linatosha.kuwe na maji ya kuaminika..
Mkinipa na connection itapendeza zaidi
Manzese kwa mfuga mbwa!
 
Nenda kilimanjaroo express
 
Wakuu kwema?

Msaada kwenye tuta, nimepata ajira posta, nahitaji room yenye choo kwa 100k na sehem ambayo ni rahisi kufikika na kwenda kazi, kama gari nikipanda moja linatosha.kuwe na maji ya kuaminika..
Mkinipa na connection itapendeza zaidi
+255711831444
piga hiyo namba sema chumba unataka kiweje then utaoneshwa tofautitofauti ikitokea umependa utachkua
 
Wakuu kwema?

Msaada kwenye tuta, nimepata ajira posta, nahitaji room yenye choo kwa 100k na sehem ambayo ni rahisi kufikika na kwenda kazi, kama gari nikipanda moja linatosha.kuwe na maji ya kuaminika.

Mkinipa na connection itapendeza zaidi
Kinapatikana,maeneo ya tegeta au ununio
 
Kigamboni gharama za usafiri zipo juu, bajaji au pikipiki hadi ferry 700/1000, pantoni 200 bado akivuka achukue boda 2000 bajaji 1000 au kutembea umbali mrefu kwenda na kurudi si chini ya 2800

Nashauri Magomeni/Makumbusho/Sinza/Tandale gari 1 kwenda na kurudi 1200
Asante
 
Back
Top Bottom