Wapi napata Master room ya kupanga kwa 100k Dar es Salaam

Wapi napata Master room ya kupanga kwa 100k Dar es Salaam

Labda Magomeni Makumbusho hatua,Tandale kama issue ni kubana matumizi huko hakuna gari za moja kwa moja posta.

Sinza napo ni pazuri kasoro mtu mwenye malengo hakumfai kunasahaulisha sana akili.
Sinza ipi mkuu napamda gari moja
 
Njoo Mbagala. Hiyo 100 k Ni Kodi ya miezi 4.
Usafiri wakumwaga. Maji usiseme, mabibi nje nje.
 
Tafuta nyumba ilala haswa maeneo ya Sharfshamba au Bungoni pale.Hakuna sehemu nzuri kwa kijana anaanza maisha kama Ilala,Kuna ustaarabu na gharama za maisha ni wastani
 
Tafuta nyumba ilala haswa maeneo ya Sharfshamba au Bungoni pale.Hakuna sehemu nzuri kwa kijana anaanza maisha kama Ilala,Kuna ustaarabu na gharama za maisha ni wastani
Asante, japo mpaka hapa nimeshachanganyikiwa
 
Back
Top Bottom