Wapi napata Master room ya kupanga kwa 100k Dar es Salaam

Aventus

JF-Expert Member
Joined
Mar 8, 2013
Posts
2,011
Reaction score
2,168
Wakuu kwema?

Msaada kwenye tuta, nimepata ajira posta, nahitaji room yenye choo kwa 100k na sehem ambayo ni rahisi kufikika na kwenda kazi, kama gari nikipanda moja linatosha.kuwe na maji ya kuaminika.

Mkinipa na connection itapendeza zaidi
 
Labda Magomeni Makumbusho hatua,Tandale kama issue ni kubana matumizi huko hakuna gari za moja kwa moja posta.

Sinza napo ni pazuri kasoro mtu mwenye malengo hakumfai kunasahaulisha sana akili.
 
Wakuu kwema?

Msaada kwenye tuta, nimepata ajira posta, nahitaji room yenye choo kwa 100k na sehem ambayo ni rahisi kufikika na kwenda kazi, kama gari nikipanda moja linatosha.kuwe na maji ya kuaminika..
Mkinipa na connection itapendeza zaidi
Manzese kwa mfuga mbwa!
 
Nenda kilimanjaroo express
 
Wakuu kwema?

Msaada kwenye tuta, nimepata ajira posta, nahitaji room yenye choo kwa 100k na sehem ambayo ni rahisi kufikika na kwenda kazi, kama gari nikipanda moja linatosha.kuwe na maji ya kuaminika..
Mkinipa na connection itapendeza zaidi
+255711831444
piga hiyo namba sema chumba unataka kiweje then utaoneshwa tofautitofauti ikitokea umependa utachkua
 
Wakuu kwema?

Msaada kwenye tuta, nimepata ajira posta, nahitaji room yenye choo kwa 100k na sehem ambayo ni rahisi kufikika na kwenda kazi, kama gari nikipanda moja linatosha.kuwe na maji ya kuaminika.

Mkinipa na connection itapendeza zaidi
Kinapatikana,maeneo ya tegeta au ununio
 
Asante
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…