Ambition plus
JF-Expert Member
- Feb 23, 2018
- 6,101
- 11,381
Nenda tangaWakuu kwema?
Wapi naweza pata hayo mawe meupe kama yanaovyoonekana kwenye picha.
ShukraniView attachment 2773884
Njia ya Morogoro - Matombo yapo kibao Kiongozi.Wakuu kwema?
Wapi naweza pata hayo mawe meupe kama yanaovyoonekana kwenye picha.
Shukrani
View attachment 2773884
Vijiwe kibao yapoWakuu kwema?
Wapi naweza pata hayo mawe meupe kama yanaovyoonekana kwenye picha.
Shukrani
View attachment 2773884
Kweli kigamboni yapo na bei ni hiyo 10000, kiroba hakijai, inakuwa kama nusu tu hivi.Vijiwe kibao yapo
Kigamboni Kibada
Mbezi kibanda cha mkaa
Tegeta nknk
Kiroba elfu 10
Sent using Jamii Forums mobile app