Wapi napata mawe meupe?

Wapi napata mawe meupe?

Ambition plus

JF-Expert Member
Joined
Feb 23, 2018
Posts
6,101
Reaction score
11,381
Wakuu kwema?

Wapi naweza pata hayo mawe meupe kama yanaovyoonekana kwenye picha.

Shukrani


IMG-20231006-WA0023.jpg
 
Kabuku Tanga, Morogoro Mikumi,Hedaru Same
 
Mwambao wa ziwa Tanganyika huko kigoma upande wa hifadhi ya gombe yamejaaa tele.
 
Back
Top Bottom