Wapi napata sound effects?

Wapi napata sound effects?

MC44

JF-Expert Member
Joined
Mar 1, 2019
Posts
2,169
Reaction score
3,297
Habari,

Navutiwa sana kupiga mziki hasa kwenye halaiki. Natumia simu na power-mixer huku watu wanapiga mziki kishamba sana.

Au telegram channel ambayo inahusisha haya mambo
 
Audiojungle.com

Kama ni DJ Tag ingia fiverr.com walipe wadosi wakufanyie voice tag.
 
Back
Top Bottom