Mtafiti77
JF-Expert Member
- Oct 31, 2011
- 1,877
- 2,314
Ndugu walevi wa gadget,
Nimeamua kubadili upepo wandugu. Natoka kwa Mkorea kwenda kwa Mchina sasa. Akili yote ipo hapo kwa MI 11 Lite 5G. Tafadhali hii isichanganywe na MI 11 Lite. Hii ninayoitaka ina 5G hapo mwisho. Nimeipenda mashine hii nikiwa na akili timamu na bila ya kushawishiwa na mtu yeyote.
Je, kwa sasa nitaipata duka gani hapa Tz? Je, inauzwa bei gani hapa Tz? Nikicheki kimataifa, kabla ya kusafirishwa huko ilipo inacheza kwenye milioni moja hadi milioni na laki moja ama mbili hivi kutegemea nchi na muuzaji.
Kwa wale wasiyoifahamu waicheki hapa. Chini kabisa kuna link inakupeleka kucheki specifications
Duka gani nitaipata ikiwa OG , sealed, virgin kabisa!