Wapi napata Xiaomi 11 Lite 5G

Wapi napata Xiaomi 11 Lite 5G

Mtafiti77

JF-Expert Member
Joined
Oct 31, 2011
Posts
1,877
Reaction score
2,314
Ndugu walevi wa gadget,

Nimeamua kubadili upepo wandugu. Natoka kwa Mkorea kwenda kwa Mchina sasa. Akili yote ipo hapo kwa MI 11 Lite 5G. Tafadhali hii isichanganywe na MI 11 Lite. Hii ninayoitaka ina 5G hapo mwisho. Nimeipenda mashine hii nikiwa na akili timamu na bila ya kushawishiwa na mtu yeyote.

Je, kwa sasa nitaipata duka gani hapa Tz? Je, inauzwa bei gani hapa Tz? Nikicheki kimataifa, kabla ya kusafirishwa huko ilipo inacheza kwenye milioni moja hadi milioni na laki moja ama mbili hivi kutegemea nchi na muuzaji.

Kwa wale wasiyoifahamu waicheki hapa. Chini kabisa kuna link inakupeleka kucheki specifications

Duka gani nitaipata ikiwa OG , sealed, virgin kabisa!
 
Ndugu walevi wa gadget

Karibu Xiaomi kwenye ulimwengu wa Raha. Hakika hutojutia Maamuzi yako.
 
Asante mkuu. Nimefungua site hii na kukuta bei inaakisi niliyoiona huo abroad. Sema sasa maduka yanayouza bidhaa hii ndo changamoto. Nishapita Mlimani City mara kadhaa siiioni. Nishaitafuta Benson kule Arusha jamaa aliyepokea simu ni kama hajawahi kuisikia.

Hapa kuagiza nje kunahusika
 
Simu nzuri Sema fanya mpango tu uagizishie online. Ngumu kukuta premium MI phones mtaani.
Shukrani mkuu.Nami ninakubali. sijui kwanini hapa mchina amekwama. Simu zake za ukweli hazipo sana soko la bongo. Huku anatujazie "zileeeeeeeee"
 
Ndugu walevi wa gadget,

Nimeamua kubadili upepo wandugu. Natoka kwa Mkorea kwenda kwa Mchina sasa. Akili yote ipo hapo kwa MI 11 Lite 5G. Tafadhali hii isichanganywe na MI 11 Lite. Hii ninayoitaka ina 5G hapo mwisho. Nimeipenda mashine hii nikiwa na akili timamu na bila ya kushawishiwa na mtu yeyote.

Je, kwa sasa nitaipata duka gani hapa Tz? Je, inauzwa bei gani hapa Tz? Nikicheki kimataifa, kabla ya kusafirishwa huko ilipo inacheza kwenye milioni moja hadi milioni na laki moja ama mbili hivi kutegemea nchi na muuzaji.

Kwa wale wasiyoifahamu waicheki hapa. Chini kabisa kuna link inakupeleka kucheki specifications

Duka gani nitaipata ikiwa OG , sealed, virgin kabisa!
5G ya nini
 
Shukrani mkuu.Nami ninakubali. sijui kwanini hapa mchina amekwama. Simu zake za ukweli hazipo sana soko la bongo. Huku anatujazie "zileeeeeeeee"
Xiaomi hawaruhusu udalali ni wao wenyewe ndio wanasupply simu zao world wide .Bongo hatuna hio access kwa kua hatuna Mi store hapa . Mi series ni highend na zinabei kubwa sasa supplier wetu wanaogopa kuzileta kwa kua upande wa flagship xiaomi bado hajatoboa sana soko la huku kushindana na ma giant kina samsung na apple .
Vivo hivo kwa oppo flagship zake ni adimu sana huku .
Mikakati ya xiaomi kwa Q3 ni pamoja na kupambania mi series zitoboe soko this time
 
Asante mkuu. Nimefungua site hii na kukuta bei inaakisi niliyoiona huo abroad. Sema sasa maduka yanayouza bidhaa hii ndo changamoto. Nishapita Mlimani City mara kadhaa siiioni. Nishaitafuta Benson kule Arusha jamaa aliyepokea simu ni kama hajawahi kuisikia.

Hapa kuagiza nje kunahusika
Agiza nje mkuu ila cha kuzingatia unapoagiza ni kuhakikisha unaahiza ambayo ni Global Version. Kinyume na hapo utakumbana na Changamoto za Network.
 
Asante sana. Hivi kwa Tz yetu mpaka sasa maduka ya uhakika ya mtandaoni ni yepi? Mpaka leo nikicheki maoni ya watu , ni kama hakuna watoa huduma wa uhakika.
 
Yepi kwa mfano ndugu? Mimi naona watu wanalialia tu kwa haya yaliyopo.Au wanasingiziwa?
Humu jukwaani kuna Mwl.RCT na Mr mobile wote wanaagizishia nje, ama Agizishia mwenyewe.

BEI rahisi zaidi NAIONA ujerumani, as of Now, around 850,000 ukiweka gharama za Bank na usafiriShaji pengine around 950,000 ama 1m ikakufikia mkononi.
 
Asante sana mkuu
 
Asante sana. Hivi kwa Tz yetu mpaka sasa maduka ya uhakika ya mtandaoni ni yepi? Mpaka leo nikicheki maoni ya watu , ni kama hakuna watoa huduma wa uhakika.
Watafute jamaa wanajiita "Highlife Tanzania" namba yao ni +255 717 233 555 wapo hata Instagram. Hawa ni uhakika na waaminifu.
 
Ila bei yake ni kheri aende kenya tu kwenda na kurud manake hao jamaa wa moto sana sana kwenye bei ,Mr mobile na Mwalimu CRt ndio watu pekee wataokuletea simu yako chap
 
Ooh ok. Mr Mobile na Mwalimu CRt una contact zao?
 
Back
Top Bottom