Wapi naweza fanya diagonisis ya Gari?

Lakini kwa sentensi yako ulimaanisha kuwa yapo ambayo 4WD siyo optinal,yaani 4WD lazima iwe on muda wote!Au nimekuelewa vibaya?
Ndio kuna gari ambazo 4WD iko ON muda wote. Pia zingine inakuwa automatic, inaangalia ni muda gani ijiweke ON. Zingine ndio unachagua wewe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…