JituMirabaMinne
JF-Expert Member
- May 4, 2020
- 3,381
- 9,744
Ndio kuna gari ambazo 4WD iko ON muda wote. Pia zingine inakuwa automatic, inaangalia ni muda gani ijiweke ON. Zingine ndio unachagua wewe.Lakini kwa sentensi yako ulimaanisha kuwa yapo ambayo 4WD siyo optinal,yaani 4WD lazima iwe on muda wote!Au nimekuelewa vibaya?