Wapi naweza kubadili fedha za Norway na Korea? Nimezunguka mabenki mengi wanasema hawafanyi Exchange

Wapi naweza kubadili fedha za Norway na Korea? Nimezunguka mabenki mengi wanasema hawafanyi Exchange

Dr Mkuu

New Member
Joined
Feb 14, 2023
Posts
1
Reaction score
0
Wadau nina ela za kigeni za Norway na Korea nimezunguka mabank mengi wanasema hawafanyi Exchange. Ni wapi naweza zibadili.

Natanguliza shukrani
 
Hizo pesa hazina mzunguko hapa nchini. Ni ngumu kusema wapi wanabadilisha, tafuta mtu anayesafiri mara kwa mara umuuzie mfano hiyo ya Korea ni South Korea mtu anayesafiri Kwenda China anaweza kubadililisha akiwa China. Nafikiri Dubai pia
 
Sasa unakuta ni buku au mia tano, mtu utamsumbua bure!! Hivi vi Hela vya kusachi kwenye mifumo ya mabelo ya mitumba hivi??
 
Mabelo ya mitumba yana faida sana...kuna mwaka faza wangu mdogo(rip)..aliagza hiace mm nkaenda kuichukua bandarin kufungua kwenye kidroo flan nkakuta vihela, nyembe na cigar kazaa.,.
 
Back
Top Bottom