Wapi naweza kununua chenga za mchele Dar es Salaam?

Adimu

JF-Expert Member
Joined
Aug 22, 2013
Posts
661
Reaction score
297
Habarini za muda huu ndugu Watanzania.

Naomba kujuzwa ni wapi wananunua chenga za mchele kwa hapa Dar es salaam.

Kwa wale mnaojua chenga za mchele ni wapi zinanunuliwa zinazotokea mikoa mbali mbali, ahsanteni.
 
Habarini za muda huu ndugu watanzani.
Naomba kujuzwa ni wapi wananunua chenga za mchele kwa hapa Dar es salaam. Kwa wale mnaojua chenga za mchele ni wapi zinanunuliwa zinazotokea mikoa mbali mbali, ahsanteni.
Una chenga kias gan na unauzaje?
 
Usawa huu chenga zinatoka wapi Daresalama hii? Hata Kyela na Shinyanga kwa wakulima kwa sasa unaweza kupata Pumba tu lakini siyo chenga za mchele.
 
Tuelewane ndugu wa Tanzania, mimi natafuta soko la kuuza chenga, chenga zipo nyingi tu swala ni soko, labda niseme nina connection ya kununua chenga nataka nilete hapa Dar es salaam, na huwa kuna wanunuzi wakubwa wa chenga yaani mzigo mkubwa, je kwa anaejua soko anipe connection.
 
Rekebisha kichwa cha TANGAZO lako!, zipige picha kwa ukaribu tuzione, kwanza!
 
Heading imewekwa jinsi wanavyojisikia wao, nimesema mimi natafuta soko la kuuza chenga za mchele sio natafuta pakununua
 
Unauzaje boss mimi mteja wa kwanz nipo siti ya mbele
 
Habarini za muda huu ndugu Watanzania.

Naomba kujuzwa ni wapi wananunua chenga za mchele kwa hapa Dar es salaam.

Kwa wale mnaojua chenga za mchele ni wapi zinanunuliwa zinazotokea mikoa mbali mbali, ahsanteni.
Mbagala kwenye kipita shoto cha kwenda chamanzi hapo zinapatikana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…