Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Una chenga kias gan na unauzaje?Habarini za muda huu ndugu watanzani.
Naomba kujuzwa ni wapi wananunua chenga za mchele kwa hapa Dar es salaam. Kwa wale mnaojua chenga za mchele ni wapi zinanunuliwa zinazotokea mikoa mbali mbali, ahsanteni.
Usawa huu chenga zinatoka wapi Daresalama hii? Hata Kyela na Shinyanga kwa wakulima kwa sasa unaweza kupata Pumba tu lakini siyo chenga za mchele.
Siku muelewa nadhani, kauliza maswali" Ni wapi zina nunuliwa chenga za mchele" . Nadhani labda anazo na anataka kuuza.Anata kuuza au kununua?
Rekebisha kichwa cha TANGAZO lako!, zipige picha kwa ukaribu tuzione, kwanza!Tuelewane ndugu wa Tanzania, mimi natafuta soko la kuuza chenga, chenga zipo nyingi tu swala ni soko, labda niseme nina connection ya kununua chenga nataka nilete hapa Dar es salaam, na huwa kuna wanunuzi wakubwa wa chenga yaani mzigo mkubwa, je kwa anaejua soko anipe connection.
Unauzaje boss mimi mteja wa kwanz nipo siti ya mbeleTuelewane ndugu wa Tanzania, mimi natafuta soko la kuuza chenga, chenga zipo nyingi tu swala ni soko, labda niseme nina connection ya kununua chenga nataka nilete hapa Dar es salaam, na huwa kuna wanunuzi wakubwa wa chenga yaani mzigo mkubwa, je kwa anaejua soko anipe connection.
Niletee mimi 700 nichukue zote hizo hata kama una tani 30 nachukua zote jifikirieBado nachunguza soko likoje kwa hapa Dar es salaam
Mbagala kwenye kipita shoto cha kwenda chamanzi hapo zinapatikana.Habarini za muda huu ndugu Watanzania.
Naomba kujuzwa ni wapi wananunua chenga za mchele kwa hapa Dar es salaam.
Kwa wale mnaojua chenga za mchele ni wapi zinanunuliwa zinazotokea mikoa mbali mbali, ahsanteni.
CongratsShukran nilipata soko
Nakutafutaga wewe dada kwa uvumba na ubani ilaa sijafanikiwaCongrats