Wapi naweza kununua machine za kuchakata plastics?

renamaizo

JF-Expert Member
Joined
Oct 17, 2014
Posts
2,134
Reaction score
3,064
Habari wadau,

Natafuta machine za kuchakata plastics kuwa flakes naweza kuzipata wapi kwa Kariakoo?
  1. Pet bottle flakes ceushing machine.
  2. Pet bottle label remover.
  3. Pet bottle neck ring remover.
  4. Pet bottle washing machine.
  5. Pet bottle dry machine.
  6. Pet bottle flakes compressor
 
Ngoja waje mkuu.
Nawasubiri kama hamna maduka bongo niagize mwenyewe nje ila specification muhimu venginevyo unaweza letewa mzigo ambao sio nimeona ngoja nianzie hapa kuliko kwenda Kariakoo na kuanza kuuliza uliza
 
nawasubir km hamna maduka bongo niagize mwenyewe nje ila specification m7himu venginevyo unaweza letewa mzigo ambao sio nimeona ngoja nianzie hapa kuliko kwenda kariakoo nakuanza kuuliza uliza
Vizurii
 
Hiyo mashine inatengeneza kabisa machupa au? Na bei yake je?
 
Tanzania akuna Anaeuza hizi machine- Utazipata China tu.Mwaka jana walinitumia bei ya complete system. Mimi natagemea kudeal na Recycling ya chupa za MO na azam Energy huko mbeleni. Check bei
 

Attachments

  • B6E09C69-67C5-43AC-BD9F-D551514A474E.jpeg
    107.1 KB · Views: 31
  • 1B7ACDE8-C1BF-4400-9EF1-C1907E1E079B.jpeg
    123.2 KB · Views: 31
  • E9E2E61E-329F-4BD8-848A-342A3889C61A.jpeg
    99.2 KB · Views: 32
Kuna jamaa nilifanya nao Kazi
Ila wamefunga kiwanda
Maybe ukihitaji unaweza wachek Kama wanauza machine zao
 
 

Attachments

  • 2022-08-27-201234447.mp4
    1.9 MB
  • 4c32fe376301d932fc51d6c7ca335d85.mp4
    951.5 KB
  • 2022-08-27-202140246.mp4
    20.8 MB
Mashine za kuchakata plastic kwa uhitaji wako nitafute 0689 859167 tukupatie mashi ne [plastic crusher] tupo mabibo
 
Kuna jamaa nilifanya nao Kazi
Ila wamefunga kiwanda
Maybe ukihitaji unaweza wachek Kama wanauza machine zao
Wapo Dar au? Nitumie namba zao inbox na location kiwanda kilipo
 
Ingia Alibaba
 
Kwa mashine za kusaga plastic usiste kuwasiliana nasi
0689 859167
 

Attachments

  • 2023-05-14-074008481.mp4
    19 MB
Plate 25mm
shaft 100mm
Motor 30hp
Chekeche 10mm
Tundu za chekeche 16mm
 

Attachments

  • 20230511_172438.jpg
    1.7 MB · Views: 30
  • 20230511_172433.jpg
    1.7 MB · Views: 26
  • 20230511_165501.jpg
    2.8 MB · Views: 26
inaelekea mwishoni hii.....
 

Attachments

  • 20230523_140712.jpg
    1.1 MB · Views: 22
  • 20230523_140649.jpg
    1.6 MB · Views: 26
  • 20230523_140658.jpg
    1.7 MB · Views: 22
  • 20230523_140640.jpg
    1.5 MB · Views: 23
  • 20230523_132549.jpg
    1.4 MB · Views: 19
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…