Habari wana JF,Mwenye information juu ya sehemu ambayo naweza kununua material za kutengenezea sabuni kwa bei nzuri jijini dar es salaam.Materials kama SLESS,Ufucid,Caustic Soda and Stabilizers.Nitashukuru kwa information zenye tija.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.