Wapi naweza kununua material za kutengenezea sabuni kwa bei nzuri Dar es salaam?

michepuko

JF-Expert Member
Joined
Apr 22, 2014
Posts
1,192
Reaction score
346
Habari wana JF,Mwenye information juu ya sehemu ambayo naweza kununua material za kutengenezea sabuni kwa bei nzuri jijini dar es salaam.Materials kama SLESS,Ufucid,Caustic Soda and Stabilizers.Nitashukuru kwa information zenye tija.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…