Idrissou02
JF-Expert Member
- Jul 31, 2018
- 354
- 656
Ungeisema project husika ingekua rahisi mtu kukuambia wapi unaeza pata grant. Maana kila donor anasehem zake za interest, ila hapa umeacha every important detail in the dark.Habarini wanaJF,
Ningeomba muongozo mahala pa kuwasilisha project yangu kwa ajili ya kuomba grant ya kuitekeleza hapa Tanzania.
Project hii itagharimu takriban Tsh 500M na pia kama kuna mtu angependa kuwekeza ni project ya uhakika ambayo itarudisha ela yake.
Nasubiri muongozo wenu wakuu.
Jaribu African Development Bank.Habarini wanaJF,