Wapi naweza kupata Baseball bat ndani ya Kenya au Tanzania?

Wapi naweza kupata Baseball bat ndani ya Kenya au Tanzania?

Travis 1

JF-Expert Member
Joined
Feb 17, 2015
Posts
878
Reaction score
1,373
Nina shida ya hizi Baseball bat, kwa anaefahamu sehemu naweza pata l.

18DE0F29-E25F-4B9C-8AA3-810C7D703CC1.jpeg

FE01B7CD-7F5B-489F-A80C-BA9D57F9FE5B.jpeg

F0AD16A4-1412-4F59-82FC-1AC96A91E18A.jpeg
 
Tafuta Seremala yoyote akufanyie hio kazi, kwenye muda wake wa kupumzika atakamilisha hio issue tena huku mkono mmoja anavuta fegi na macho kayafumba...., hii kazi rahisi sana kwake
 
Tafuta Seremala yoyote akufanyie hio kazi, kwenye muda wake wa kupumzika atakamilisha hio issue tena huku mkono mmoja anavuta fegi na macho kayafumba...., hii kazi rahisi sana kwake
Wapi naweza pata seremala wakufanya hiyo kazi?
 
Duh mzee unaitaka kwa matumizi ya nn😂😂😂

Nlipoiona hii nmekumbka mbali sana

Ova
 
Jaribu kwenda kwenye maduka ya kuuza vifaa vya michezo

Ova
 
Mkuu kwanini uhangaike hata wewe unaweza ukatengeneza au pita VETA wape madogo wafanye waachie buku 10 ya soda wapelekee na hizi instructions

Back
Top Bottom