Wapi naweza kupata Criminal Report?

lastBorn raY

Member
Joined
Apr 18, 2023
Posts
19
Reaction score
47
Nahitaji criminal report na sijui wapi inatolewa au ni utaratibu gani wa kufata ili niipate.

Naombeni kufahamishwa nimekwama
 
lastBorn raY Nadhani sisi tunaiita Clearance Report. Kama mchangiaji aliposema hapo unaweza kwenda kituo chochote kikubwa cha polisi kilicho jirani na wewe ukaanzia hapo.

Ila sasa Police Tanzania wamerahisisha unaweza kufanya online. Pia hapa:


Kisha jaza form, watakuambia viambatanisho na kama ww ni Mtanzania na unaishi Tanzania utalipia Tsh 10,000/= tu kama ni Mtanzania unaishi nje utalipia $50 tu.

Kabla haujaanza online application uwe na: passport (iwe na size 480px,height:640px kama ukiona size ya passport yako haipo ivo itakusumbua ku upload, nenda kaedit kwenye paint 🎨 ya kwenye PC,) na pia uwe na copy ya NIDA au Birth certificate au Passport ya Kusafiria.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…