Za muda huu wakuu
Nilishapitia threads mbalimbali humu Jf hususani katika ishu za watu walikuwa wanasumbuliwa na tatizo la kutosikia (hearing loss) but nami ni muhanga wa hilo nimepambana sana kutumia madawa kama ushauri wa daktari nilitumia kama miezi nane dawa aina za neurosupport katika kipindi tofauti ndani ya miaka minne kila mwaka nilitumia miezi miwili miwili nilipewa moyo sana kwamba nitumie na wala nisiangaike kwa daktari
Ifikika stage mpaka nimepewa rufaa nikaenda Muhimbili wakashauri nitumie hearing device baada ya kunipima wakagundua masikio yote yemathirikia total siwezi ongea na simu wala kuchuja sauti kabisa ukiniongela karibu nasikia besi fully siwezi kukupata neno mpaka neno
Walinidirect kwenye jengo la hearwell audologist clinic ambalo linaangaliana na richmond tower pale pale Muhimbili so vile device kabla niliwapa vipimo wakanitafutia size yake ni vidogo hivi vinatumia betri za saa make isgnia kimoja wakadai ni laki nane cash hakuna maelezo
So naomba kama kuna mtu anaweza kujua au kutoa msaada kupata cheap maana alibaba nilichek aliexpress bei yake ni ndogo mno mpaka nikahisi labda suppliers ni scammers
Naomba mawazo yenu wakuu