Wapi naweza kupata hii spare?

Wapi naweza kupata hii spare?

Afisa Mteule Drj 2

JF-Expert Member
Joined
Mar 21, 2017
Posts
3,865
Reaction score
4,506
Ni disk zinazotengeneza pellet kwa ajili ya mifugo,hizi zilikuja na mashine matundu yake ni ya aina moja sasa nataka zenye matundu madogo zaidi
20240416_110335.jpg
 
Fitter and turner ndiyo anayehusika na kuchonga spare part,kwa hiyo ukimpata mmoja mwenye work shop anakuchongea kwa vipimo unavyohitaji wewe,nini usichoelewa hapo?
Fitter & turner hachongi spare bali anachonga vipuri kwa kutumia lathe ama milling ama re-boring...😊
Lakini pia kwa aina ya hiki anacho kitaka mleta mada.... hizo gear ni ngumu, kwahiyo ili afanikiwe basi atafute wataalamu wanao fanya metal hardening ikiwa ata opt kuchongewa
 
Mkuu fittee n turner anafanya,.hapo anachagua chuma kama 20mm kisha anakata size ya uhitaji,anatoboa size ya tundu la uhitaji kwa kutumia bench drill,na hizo tools zote mtu wa fitter n turner anatumia.Kwa hiyo unataka kuniambia mtu wa Fitter n turner hana ujuzi wa kuchonga hicho chuma kwa size hiyo?
 
Hiki ni kitu nyeti sana mkuu akifeli kidogo tu sipati bidhaa ninayoihitaji
 
Back
Top Bottom